Msaada wa Masomo
Kaka, Ndugu
iliyopita inayofuata

Kaka, Ndugu

Kama watoto wa Baba yetu wa Mbinguni, wanaume na wanawake wote ni kaka na dada kiroho. Katika Kanisa, waumini wa kiume na marafiki wa Kanisa mara kwa mara huitwa kama akina kaka.