Misaada ya Kujifunza
Yohana Mbatizaji


Yohana Mbatizaji

Mwana wa Zakaria na Elizabethi katika Agano Jipya. Yohana alitumwa kuwaandaa watu kwa kumpokea Masiya (Yn. 1:19–27). Alishikilia funguo za Ukuhani wa Haruni na alimbatiza Yesu Kristo.