Misaada ya Kujifunza
Zeri ya Giliadi


Zeri ya Giliadi

Ubani wenye harufu nzuri sana au kiungo kitumikacho kutibu vidonda (Mwa. 43:11; Yer. 8:22; 46:11; 51:8). Kichaka kitoacho utomvu ambao kwao zeri ilitengenezwa iliota kwa wingi sana katika Giliadi katika nyakati za Agano la Kale kiasi kwamba zeri ilikuja kujulikana kama “zeri ya Giliadi” (Mwa. 37:25; Eze. 27:17).