Misaada ya Kujifunza
Bahari ya Shamu


Bahari ya Shamu

Mkusanyiko wa maji kati ya Misri na Arabia. Ghuba zake mbili upande wa kaskazini zinafanya ufukwe wa Rasi ya Sinai. Kimiujiza Bwana aliigawanya Bahari ya Shamu ili Waisraeli chini ya uongozi wa Musa waweze kupita katika nchi kavu (Ku. 14:13–31; Ebr. 11:29). Kugawanywa kwa Bahari na Musa kunathibitishwa katika ufunuo wa siku za mwisho (1 Ne. 4:2; Hel. 8:11; M&M 8:3; Musa 1:25).