Msaada wa Masomo
Wokovu kwa ajili ya Wafu
iliyopita inayofuata

Wokovu kwa ajili ya Wafu

Nafasi kwa watu wale waliokufa pasipo kupokea ibada za wokovu za injili ili kupata ibada kufanywa kwa ajili yao katika mahekalu na waumini wa Kanisa wenye kustahili. Wafu hufundishwa injili katika ulimwengu wa roho na inawezekana wakakubali ibada zilizofanywa kwa ajili yao katika mwili wenye kufa.

Waumini wa Kanisa walio waaminifu hutafiti na kutayarisha historia za familia ili kuyajua majina na tarehe za kuzaliwa kwa wahenga wao ili kwamba ibada za wokovu zipate kufanywa kwa ajili yao.