Misaada ya Kujifunza
Elisabeti


Elisabeti

Katika Agano Jipya, ni mke wa Zakaria, mama yake Yohana Mbatizaji, na jamaa wa kike wa Maria (Lk. 1:5–60).