Misaada ya Kujifunza
Kipawa cha Roho Mtakatifu


Kipawa cha Roho Mtakatifu

Haki ya kila muumini wa Kanisa aliyebatizwa na aliye mstahilivu kuwa na ushawishi wa daima wa Roho Mtakatifu. Kufuatia ubatizo wa mtu katika Kanisa la kweli la Yesu Kristo, mtu huyo hupokea kipawa cha Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono kutoka kwa mtu aliye na mamlaka sahihi (Mdo. 8:12–25; Moro. 2; M&M 39:23). Kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu mara nyingi hunenwa kama ubatizo kwa moto (Mt. 3:11; M&M 19:31).

Chapisha