Misaada ya Kujifunza
Maria, Mama wa Yesu


Maria, Mama wa Yesu

Katika Agano Jipya, ni bikira aliyechaguliwa na Mungu Baba kuwa mama wa Mwanawe katika mwili. Baada ya kuzaliwa kwa Yesu, Maria alipata watoto wengine (Mk. 6:3).