Misaada ya Kujifunza
Manifesto


Manifesto

Tamko rasmi lililotolewa na Rais Wilford Woodruff katika mwaka 1890 akisema kwa uwazi kabisa kwamba Kanisa na waumini wake wamejiweka chini ya sheria ya nchi na hawataingia tena katika ndoa za wake wengi (TR 1). Rais Woodruff alitoa Manifesto hii kufuatia ono na ufunuo kutoka kwa Mungu.