Misaada ya Kujifunza
Ukweli


Ukweli

Ufahamu wa mambo kama yalivyo, na kama yalivyokuwa, na kama yatavyokuwa (M&M 93:24). Ukweli pia unamaanisha nuru na ufunuo kutoka mbinguni.