Misaada ya Kujifunza
Mabamba ya Shaba Nyeupe


Mabamba ya Shaba Nyeupe

Kumbukumbu ya Wayahudi kutoka mwanzo hadi miaka 600 K.K., yenye maandishi mengi ya manabii (1 Ne. 5:10–16). Kumbukumbu hii ilikuwa ikitunzwa na Labani, mmoja wa wazee wa Kiyahudi katika Yerusalemu. Wakati Lehi na familia yake walipokuwa nyikani, Lehi aliwatuma wanawe kurudi Yerusalemu ili kuzileta kumbukumbu hizi (1 Ne. 3–4). (Kwa habari zaidi ona, “Maelezo Mafupi kuhusu Kitabu cha Mormoni,” yaliyoko katika Kitabu cha Mormoni.)

Chapisha