Misaada ya Kujifunza
Smith, Samuel H.


Smith, Samuel H.

Kaka mdogo wa Joseph Smith Nabii (JS—H 1:4). Samuel alizaliwa katika mwaka 1808 na alikufa katika mwaka 1844. Alikuwa mmoja wa Mashahidi Wanane wa Kitabu cha Mormoni na alitumikia kama mmoja wa wamisionari wa Kwanza wa Kanisa lililorejeshwa (M&M 23:4; 52:30; 61:33–35; 66:7–8; 75:13).