Msaada wa Masomo
Hekima


Hekima

Uwezo au kipawa kutoka kwa Mungu cha kuhukumu kwa usahihi. Mtu hupata hekima kwa njia ya uzoefu na kujifunza na kwa kufuata ushauri wa Mungu. Pasipo msaada wa Mungu, mwanadamu hawezi kuwa na hekima ya kweli (2 Ne. 9:28; 27:26).