Misaada ya Kujifunza
Ukoma


Ukoma

Aina ya ugonjwa wa kutisha wa ngozi unaoambukiza umetajwa mara kwa mara katika Agano la Kale na Jipya. Watu wengi maarufu katika Biblia kwa wakati fulani waliathirika nao, ikiwa ni pamoja na Musa (Ku. 4:6–7), dada yake Miriamu (Hes. 12:10), Naamani (2 Fal. 5), na Mfalme Uzia (2 Nya. 26:19–21).