Misaada ya Kujifunza
Kanoni


Kanoni

Mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vinavyotambuliwa, na vinavyoaminika. Katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho, vitabu vya kanoni vinaitwa vitabu vitakatifu navyo vinajumuisha Agano la Kale na Jipya, Kitabu cha Mormoni, Mafundisho na Maagano, na Lulu ya Thamani Kuu.