Misaada ya Kujifunza
Nikodemo


Nikodemo

Katika Agano Jipya, ni mtawala mwadilifu wa Wayahudi (labda wa Sanhedrini) na Mfarisayo (Yn. 3:1).