Misaada ya Kujifunza
Hukumu


Hukumu

Hali ya kuwa mtu amesimamishwa katika makuzi yake na kukataliwa kuingia mbele ya uso wa Mungu na utukufu Wake. Hukumu ipo katika viwango tofauti. Wale wote ambao hawapati utimilifu wa utukufu wa selestia, kwa kiwango fulani watakuwa wamezuiliwa katika makuzi na haki zao, nao watakuwa wamehukumiwa kwa kiwango hicho.