Misaada ya Kujifunza
Apokrifa


Apokrifa

Vitabu vitakatifu vya watu wa Kiyahudi ambavyo havikujumuishwa katika Biblia ya Waebrania lakini vimewekwa katika Biblia za baadhi ya makanisa ya Kikristo. Vitabu hivi daima ni vya muhimu katika kuunganisha Agano la Kale na Jipya na vinachukuliwa katika kanisa kama vitabu vyenye manufaa.