Misaada ya Kujifunza
Askofu


Askofu

Humaanisha “msimamizi,” ni ofisi au nafasi yenye madaraka. Askofu ni ofisi iliyotawazwa katika Ukuhani wa Haruni (M&M 20:67; 107:87–88), na askofu ni mwamuzi wa wote katika Israeli (M&M 107:72, 74).