Misaada ya Kujifunza
Stefano


Stefano

Stephano alikufa kifo cha kishahidi kwa ajili ya Mwokozi na Kanisa Lake katika nyakati za Agano Jipya. Mahubiri yake yalifanyika mapema na yawezekana yaliiongoza kazi kubwa ya Paulo, ambaye alikuwepo wakati Stefano alipokuwa akijitetea mwenyewe mbele ya Sanhedrini (Mdo. 8:1; 22:20).