Misaada ya Kujifunza
Goliathi


Goliathi

Katika Agano la Kale, ni jitu la Kifilisti ambalo lilikuwa likiyashinda majeshi ya Waisraeli. Daudi alikubali kupambana naye kwa msaada wa Bwana akaliuwa (1 Sam. 17).