Misaada ya Kujifunza
Naamani


Naamani

Katika Agano la Kale, ni kapteni wa jeshi la Shamu. Pia alikuwa mkoma. Kupitia imani ya mtumishi wake wa kike wa Kiisraeli alikwenda Israeli kumwona nabii Elisha. Aliponywa ukoma kwa kujinyenyekeza yeye mwenyewe na kuoga mara saba katika mto Yordani kama nabii Elisha alivyomwelekeza (2 Fal. 5:1–19; Lk. 4:27).