Misaada ya Kujifunza
Katiba


Katiba

Katika kitabu cha Mafundisho na Maagano, “Katiba” inamaanisha Katiba ya Muungano wa Mataifa ya Marekani, ambayo iliandikwa kwa mwongozo wa kiungu ili kutengeneza njia kwa ajili ya urejesho wa injili.