Misaada ya Kujifunza
Ana


Ana

Katika Agano Jipya, ni nabii mwanamke wa kabila la Asheri. Katika wakati wa kuzaliwa kwa Yesu, mwanamke huyu alikuwa mzee na mjane. Alimwona mtoto mchanga Yesu wakati wa kutolewa Kwake hekaluni na kutambuliwa Kwake kama ni Mkombozi (Lk. 2:36–38).