Misaada ya Kujifunza
Helamani, Mwana wa Alma


Helamani, Mwana wa Alma

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana mkubwa wa Alma, aliyekuwa mwana wa Alma (Alma 31:7). Helamani alikuwa nabii na kiongozi wa kijeshi.