Misaada ya Kujifunza
Deni


Deni

Kama lilivyotumika katika maandiko, fedha au mali inayodaiwa na mtu mwingine husababisha aliyekopeshwa kuwa katika hali ya utumwa. Kwa maana nyingine, Yesu alifundisha kwamba tumwombe Baba atusamehe madeni yetu, au atufungulie sisi kutoka katika kulipa malipo ya dhambi zetu—kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo—baada ya kuwa sisi tumewasamehe wengine kwa ajili ya makosa yao dhidi yetu (Mt. 6:12; 3 Ne. 13:11).