Misaada ya Kujifunza
Mpatanishi


Mpatanishi

Mwombezi au msuluhishi. Yesu Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu. Upatanisho Wake ulifanya njia iwezekane kwa watu kutubu dhambi zao na kupatanishwa na Mungu.