Msaada wa Masomo
Muujiza
iliyopita inayofuata

Muujiza

Tukio lisilo la kawaida linalosababishwa na nguvu za Mungu. Miujiza ni sehemu muhimu katika kazi ya Yesu Kristo. Inajumuisha uponyaji, kurejeshwa kwa wafu katika uhai, na ufufuko. Miujiza ni sehemu ya injili ya Yesu Kristo. Imani ni muhimu ili miujiza iweze kuonekana (Mk. 6:5–6; Morm. 9:10–20; Eth. 12:12).