Misaada ya Kujifunza
Wokovu


Wokovu

Kuokolewa kutoka katika mauti ya kimwili na kiroho. Watu wote wataokolewa kutokana na mauti ya kimwili kwa neema ya Mungu, kupitia mauti na Ufufuko wa Yesu Kristo. Kila mtu anaweza pia kuokolewa kutoka katika mauti ya kiroho kwa neema ya Mungu, kwa njia ya imani katika Yesu Kristo. Imani hii huonekana katika maisha ya utii kwa sheria na ibada za injili na huduma kwa Kristo.

Wokovu wa watoto