Misaada ya Kujifunza
Shizi


Shizi

Kiongozi wa kijeshi wa Wayaredi katika Kitabu cha Mormoni. Alikufa mwishoni mwa vita vikuu ambavyo viliangamiza taifa zima la Yaredi (Eth. 14:17–15:31).