Misaada ya Kujifunza
Utovu wa maadili ya kujamiiana


Utovu wa maadili ya kujamiiana

Kushiriki katika uzinzi kwa makusudi, uasherati, tabia za ubasha na usagaji, kujamiiana kwa maharimu, au nyingine yoyote isiyo takatifu, isiyo ya kawaida, au mambo ya kujamiiana yasiyo safi.