Misaada ya Kujifunza
Lemueli


Lemueli

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa pili wa Lehi na ni mmoja kati ya kaka wakubwa wa Nefi. Aliungana na Lamani ili kumpinga Nefi.