Misaada ya Kujifunza
Mabamba ya Dhahabu


Mabamba ya Dhahabu

Taarifa iliyoandikwa juu ya mabamba ya dhahabu. Inaelezea historia ya mataifa makubwa mawili ya mabara ya Marekani. Joseph Smith alitafsiri na kuchapisha sehemu ya mabamba haya. Tafsiri hii inaitwa Kitabu cha Mormoni (Kwa habari zaidi, ona “Utangulizi” na “Ushuhuda wa Joseph Smith Nabii” katika Kitabu cha Mormoni).