Kuwa na ugonjwa au maradhi. Katika maandiko, ugonjwa wa kimwili wakati mwingine hutumika kama ishara ya ukosefu wa uzima wa kiroho (Isa. 1:4–7 ; 33:24 ).
Nimesikia sala zako, nimeona machozi yako; tazama, nitakuponya, 2 Fal. 20:1–5 (2 Nya. 32:24 ; Isa. 38:1–5 ).
Yesu alienda huku na huku akiponya kila aina ya magonjwa na aina zote za maradhi, Mt. 4:23–24 (1 Ne. 11:31 ; Mos. 3:5–6 ).
Walio wazima hawamhitaji tabibu, bali wao walio wagonjwa, Mt. 9:10–13 (Mk. 2:14–17 ; Lk. 5:27–32 ).
Je, kuna yeyote aliye mgonjwa miongoni kati yenu? na awaite wazee, Yak. (Bib.) 5:14–15 .
Kristo atajichukulia juu yake maumivu na magonjwa ya watu wake, Alma 7:10–12 .
Yesu aliwaponya wagonjwa wote miongoni mwa Wanefi, 3Â Ne. 26:15 .
Mlisheni aliye mgonjwa kwa upendo, madawa, na kwa chakula laini, M&M 42:43 (Alma 46:40 ).
Katika mambo yote wakumbukeni walio wagonjwa na wenye kuteseka, M&M 52:40 .
Wekeni mikono yenu juu ya wagonjwa, nao watapona, M&M 66:9 .