Misaada ya Kujifunza
Zerubabeli


Zerubabeli

Katika Agano la Kale, ni wakati Koreshi alipotoa ruhusa kwa Wayahudi kurudi Palestina, Zerubabeli aliteuliwa kuwa gavana au mwakilishi wa nyumba ya kifalme wa Kiyahudi. Jina lake la Kiajemi lilikuwa Sheshabaza (Ezra 1:8). Alihusika katika kulijenga upya hekalu katika Yerusalemu (Ezra 3:2, 8; 5:2).