Misaada ya Kujifunza
Taji


Taji

Pambo la duara linalovaliwa juu ya kichwa cha mtawala. Laweza kuwa alama ya uwezo wa kiselestia, utawala, na umungu. Wale wenye kustahimili hadi mwisho kwa kushika amri zote za Mungu watapokea taji la uzima wa milele. (Ona M&M 20:14; Musa 7:56; JS—M 1:1).