Misaada ya Kujifunza
Baraka za Kipatriaki


Baraka za Kipatriaki

Baraka zitolewazo kwa waumini wa Kanisa wenye kustahili na mapatriaki waliotawazwa. Baraka za kipatriaki zina ushauri wa Bwana kwa yule mtu anayepokea baraka na kutamka kabila la mtu huyo katika nyumba ya Israeli. Akina baba wanaweza kutoa baraka maalumu kama mapatriaki wa familia zao, lakini baraka za aina hiyo haziandikwi au haziwekwi na Kanisa.