Misaada ya Kujifunza
Yakobo, Mwana wa Alfayo


Yakobo, Mwana wa Alfayo

Mmoja wa Mitume Kumi na Wawili waliochaguliwa na Yesu wakati akiwa katika huduma Yake katika mwili ufao (Mt. 10:3; Mk. 3:18; Lk. 6:15; Mdo. 1:13).