Misaada ya Kujifunza
Huduma kwa Wagonjwa


Huduma kwa Wagonjwa

Baraka itolewayo kwa mgonjwa na watu wenye Ukuhani wa Melkizedeki, inayojumuisha matumizi ya mafuta yaliyotakaswa na kuwekwa wakfu.