Msaada wa Masomo
Nchi ya Ahadi
iliyopita inayofuata

Nchi ya Ahadi

Nchi ambazo Bwana huahidi kuwa kama urithi kwa wafuasi wake waaminifu, na mara kwa mara pia kwa wazao wao. Kuna nchi nyingi za ahadi. Mara kwa mara katika Kitabu cha Mormoni nchi ya ahadi inayozungumzwa ni nchi ya Marekani.