Misaada ya Kujifunza
Vipawa vya Roho


Vipawa vya Roho

Baraka maalumu zitolewazo na Bwana kwa watu wenye kustahili kwa manufaa yao wenyewe na kuvitumia kwa ajili ya kuwabariki wengine. Kwa maelezo juu ya vipawa vya Roho, jifunze Mafundisho na Maagano 46:11–33; 1 Wakorintho 12:1–12; Moroni 10:8–18.