Misaada ya Kujifunza
Debora


Debora

Katika Agano la Kale, ni nabii mwanamke aliyewahukumu Waisraeli na alimtia moyo Baraka ili apigane dhidi ya Wakanaani (Amu. 4). Wimbo wa Debora na Baraka wakisherehekea kukombolewa kwa Waisraeli kutoka utumwani (Amu. 5).