Misaada ya Kujifunza
Smith, Joseph, Mkubwa


Smith, Joseph, Mkubwa

Baba wa Joseph Smith Nabii. Alizaliwa Julai 12, 1771. Alimwoa Lucy Mack, na walizaa watoto tisa (JS—H 1:4). Joseph alikuwa muumini mwaminifu katika Urejesho wa siku za mwisho na Patriaki wa kwanza kwa Kanisa. Alikufa Septemba 14, 1840.