Msaada wa Masomo
Shida
iliyopita inayofuata

Shida

Kupitia shida—majaribu, dhiki, na huzuni—mwanadamu aweza kupata matatizo mengi ambayo humpeleka katika makuzi ya kiroho na makuzi ya milele kwa kumgeukia Bwana.