Misaada ya Kujifunza
Filemoni


Filemoni

Mkristo katika Agano Jipya aliyekuwa akimiliki mtumwa Onesimo, aliyetoroka na kuungana na Paulo. Paulo alimrudisha tena Onesimo kwa Filemoni pamoja na barua akimwomba Filemoni amsamehe yule mtumwa.