Misaada ya Kujifunza
Sanhedrini


Sanhedrini

Seneti ya Kiyahudi na baraza la juu zaidi la Kiyahudi katika mashauri yote ya Kiraia na kidini. Sanhedrini linaundwa na washiriki sabini na mmoja waliochaguliwa kutoka miongoni mwa makuhani wakuu, waandishi, na wazee. Katika maandiko, mara kwa mara huitwa baraza (Mt. 26:59; Mk. 14:55; Mdo. 5:34).