Misaada ya Kujifunza
Askofu Kiongozi


Askofu Kiongozi

Kiongozi Mkuu katika Kanisa. Anao wajibu mkuu juu ya mambo ya ustawi wa Kanisa (M&M 107:68). Askofu Kiongozi na washauri wake, ambao pia ni Viongozi Wakuu, huongoza juu ya Ukuhani wa Haruni wa Kanisa (M&M 68:16–17; 107:76, 87–88).