Misaada ya Kujifunza
Sabini


Sabini

Ofisi ambayo wanaume hutawazwa katika Ukuhani wa Melkizedeki. Leo, akidi za Sabini ni Viongozi Wakuu wa Kanisa na Sabini wa Maeneo. Wale Sabini huhudumu katika jina la Bwana chini ya maelekezo ya Uraisi wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili (ona M&M 107:34). Hutoa muda wao wote kwa huduma hii.