Msaada wa Masomo
Kuhani, Ukuhani wa Haruni
iliyopita inayofuata

Kuhani, Ukuhani wa Haruni

Ofisi ya Ukuhani wa Haruni. Hapo zamani, ofisi ya juu kabisa katika Ukuhani wa Walawi ilishikiliwa na Haruni na wazao wake tu. Kristo alipotimiza torati ya Musa, kizuizi hiki kiliondolewa.