Misaada ya Kujifunza
Yuda, Kaka wa Yakobo


Yuda, Kaka wa Yakobo

Katika Agano Jipya, ni mmoja wa Mitume Kumi na Wawili wa mwanzoni wa Yesu Kristo (Lk. 6:13–16). Yeye huenda pia alijulikana kama Leboya Thadayo (Mt. 10:2–4).